J JERRY JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 630 Reaction score 502 May 20, 2015 #1 Wadau, naomba kujua kama kuna mtu anajua tiba/ utatuzi wa mtoto anayesaga meno wakati akiwa usingizini. Nina binti yangu ana tabia ya namna hii.
Wadau, naomba kujua kama kuna mtu anajua tiba/ utatuzi wa mtoto anayesaga meno wakati akiwa usingizini. Nina binti yangu ana tabia ya namna hii.