MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,039
- 855
Habari wanajamvi,
Nina mpwa wangu wa kike anatatizo la kushindwa kuzuia mkojo pale unapombana jambo ambalo limekuwa likimletea aibu mbele ya wasichana wenzake shuleni. Pia anatatizo la kuumwa na kibofu.
Please jamani msaada wenu ni muhimu jinsi ya kutibia hili tatizo, ushauri na pia wapi tiba hii inapopatikana.