ahaa!okay,nashukuru kwa kunielewesha mkuuTechnician Certificate ni NTA Level 5.....kuna modules nying tu zinaongezeka kulingana na profession husika.....Basic technician ( Level 4) ni mwaka mmoja, Level 5 ambayo ni Technician Certificate, mwaka mmoja soo inakua miwili,Na Ordinary diploma..ni mwaka mmoja..so inakua mitatu....
Hapo kuna tatizo chuo hawaedit hizo taarifa zao sasa hivi hakuna diploma in primary education kuna certificate in primary na ipo chini ya nectaHabari wana JF,
Samahani naomba kuelekezwa tofauti ya kozi tajwa hapo juu.
Mimi nimechaguliwa kusomea Ualimu ngazi ya Technician Certificate in P.Education lakini kwenye chuo husika kozi iliyopo ni Basic Technician(Level 4) pamoja na Ordinary Diploma in Primary Education(Level 6).
Na je,duration ya kila kozi ni muda gani?
Shukrani
Sasa mimi kwenye selection wameniambia nimechaguliwa kwenda kusomea "TECHNICIAN CERTIFICATE" Hapo nimeshindwa kuwaelewa,hiyo siyo Level 5?Ukisoma diploma mwaka mmoja ukafanya na mtihani ukafaulu ukataka kuishia hapo unapewa cheti kinaitwa technician certificate
Technician Certificate ni NTA Level 5.....kuna modules nying tu zinaongezeka kulingana na profession husika.....Basic technician ( Level 4) ni mwaka mmoja, Level 5 ambayo ni Technician Certificate, mwaka mmoja soo inakua miwili,Na Ordinary diploma..ni mwaka mmoja..so inakua mitatu
Alafu kuna hii mfano Certificate in social work. Aijasema ni basic technician au technician yenyew. Hii tunaiweka kweny level gani NTA LEVEL 4/5 na kwanini zitambulike tofaut na izo zingine.Technician Certificate ni NTA Level 5.....kuna modules nying tu zinaongezeka kulingana na profession husika.....Basic technician ( Level 4) ni mwaka mmoja, Level 5 ambayo ni Technician Certificate, mwaka mmoja soo inakua miwili,Na Ordinary diploma..ni mwaka mmoja..so inakua mitatu....