Kama kwenye sheria "sioni kitu chochote" hayo maelezo ya unpaid leave umetubandikia kutoka wapi, google?...Sioni kitu chochote kuhusu unpaid leave kwenye EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT, 2004 labda iko covered na sheria nyingine.
Unpaid leave ni likizo bila malipo, hii inaweza kutokea kama mwajiriwa anataka likizo zaidi ya ile anayopata kisheria na katika makubaliano au kama mwajiriwa amesimamishwa kazi kutokana na makosa fulani na uchunguzi unafanyika.
Kama kwenye sheria "sioni kitu chochote" hayo maelezo ya unpaid leave umetubandikia kutoka wapi, google?
Definition kutoka wapi? Mada ni: "Wadau,kwa mujibu wa sheria za kazi za Tz,nini tofauti ya annual leave na unpaid leave." Sio definition za google au kamusi au maoni au popote ulipoipata. Ni kuhusu sheria ya Tanzania.Hiyo ndo definition ya unpaid leave, ila application (details) zinatofautiana na sheria za mahali ulipo so ni kupekua sheria mpaka uipate.