Nini tofauti kati ya homa na magonjwa mengine?

Nini tofauti kati ya homa na magonjwa mengine?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Tumewahi umesikia au kusema 'nina homa'' au dalili za ugonjwa fulani ni pamoja na 'kupata homa'. Watu wengi (ikiwemo mimi) hatujui maana au dalili hasa za homa.
Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya homa na magonjwa mengine.
AMANI IWE KWENU...
 
Homa ni kupanda kwa joto zaidi ile ya kawaida ya binadamu, yaani zaidi ya 37'C. Hii ndo inaitwa homa, na homa inaweza sababishwa na ugonjwa wowote, kama malaria, typhoid, cancer, ukimwi n.k. Hivyo homa ni dalili na si ugonjwa.
Naamini utaelewa
 
Ahsante sana ndugu! AMANI IWE KWAKO...
 
Naomba tena kuuliza, ikiwa kama mtu anapatwa homa/ugonjwa usiku tu!, mchana ni mzima kabisa, je akipimwa wakati wa mchana (muda yu mzima kabisa) tatizo lake litaonekana?
 
ndiyo utaonekana na hiyo ni dalili kubwa ya magonjwa kama uti,tb na typhoid
 
Ahsante sana.. Ila umenitisha! Usiogope.
Kwa siku kadhaa sasa huwa napata homa jioni/ usiku kiasi cha kutetemeka kwa mbalii.., sijawahi kuugua wala kumeza dawa tangu 2006. Hivyo nilikuwa nimepanga leo jioni nipitie duka la dawa ili nipate angalau vidonge.
Je hosptali ya ngazi gani ni sahihi kwenda kupima?
AMANI IWE KAKO.....
 
mwee, ilo la mwisho sio swali mkuu, nenda osipitali yoyote mana unamswalika sana wajameni mwe! Kasoro kwa witch dokta akawii kukwambia umerogwa na mkeo wakati hata mke mwenyewe huna.
 
Nimetoka hosptali ya Mkoa - Iringa, wamepima damu na mkojo, wamesema hakuna tatizo. Labda damu itakuwa imezidi, nina 16.5 6 Hb za damu. Ninawaheshimu, ila sina imani nao.
 
usikubal matokeo ya osptal moja chek mpaka 3, mimi niliwai ambiwa eti na TB, nkaenda kwengne wakasema NIMONIA NA DAWA NKANYWA, KWENDA MWIMBIL NKAMBIWA NEITHER OV ABOVE, NA KWAMBA NI KIFUA CHA KAWAIDA, SO NENDA OSPTAL NYNGNE THEN KOMPEA MAJIBU.
 
Back
Top Bottom