Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OFFICER GRADE 1 AND GRADE 2Jamani naomba kueleshwa kuhusu hizi positions mbili ICT Officer II na ICT officer I, ipi ni position ya juu kuliko nyingine?
Nashukuru sana mpambanajiOFFICER GRADE 1 AND GRADE 2
GRADE 1 AMEPANDA CHEO KUTOKA GRADE 2 EITHER KWA QUALIFICATIONS ZA ELIMU NA OPRAS
YA JUU KULIKO NYINGINE NI GRADE 1 KWA KUWA AMEMZIDI MSHAHARA GRADE 2
yeah asante, japo nimeelezea juu juu ninavyoelewa ila wajuzi zaidi watafafanuaNashukuru sana mpambanaji