Nini tofauti kati ya injini 3s-r40, 1AZZ na 3ZZ-FE 14

Nini tofauti kati ya injini 3s-r40, 1AZZ na 3ZZ-FE 14

masele paul

Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
46
Reaction score
37
Wadau mwa jf ninaomba kujua tofauti ya injini hizo hapo juu. Uimara wake, durability na performance kwa ujumla katika maeneo ya vijijini
 
Mkuu uki Google Kila kitu kipo wazi..... Mbona technology ipo kiganjani mwako unataka utafuniwekila kitu... Acha izooooool jombaaaaaaa
 
Mkuu uki Google Kila kitu kipo wazi..... Mbona technology ipo kiganjani mwako unataka utafuniwekila kitu... Acha izooooool jombaaaaaaa
Asante kwa uelewa wako. Ukienda Google utakuta zote wanazisifia kwa namna. Huwezi kuona tofauti. Hapa ninajua kuna waliozitumia na mafundi pia. Hivyo nitapata maelezo ya uhakika kutokana na uzoefu wa watu mbalimbali. Maelezo yaliyoko Google ni ya producer hawezi kuzisemea vibaya hata kama zinamatatizo ya kiufundi. Mpaka tumiaji mwingine alalamike. Usiwe mchoyo wa Elimu kaka.
 
Back
Top Bottom