Asante kwa uelewa wako. Ukienda Google utakuta zote wanazisifia kwa namna. Huwezi kuona tofauti. Hapa ninajua kuna waliozitumia na mafundi pia. Hivyo nitapata maelezo ya uhakika kutokana na uzoefu wa watu mbalimbali. Maelezo yaliyoko Google ni ya producer hawezi kuzisemea vibaya hata kama zinamatatizo ya kiufundi. Mpaka tumiaji mwingine alalamike. Usiwe mchoyo wa Elimu kaka.