Nini tofauti kati ya Makamu wa rais, Naibu rais?

Nini tofauti kati ya Makamu wa rais, Naibu rais?

Zitto alimanisha Bashite maana yeye ndio anaongoza kwa kupata live covarage baada ya Mkulu kuliko hata Mama yetu.
Upo sahihi lkn pia wenzetu Kenya wanatumia Naibu Rais ni nini tofauti? Na je tunaweza kuwa nao wote kwa wakati mmoja!!! Nan atakua zaid kiprotocal kwan nakumbuku siku moja Makam alimkaribisha ukumbini Naibu rais je hii ilikua sawa???
 
Nini tofauti kati ya Makam wa rais, Naibu rais na Kaimu rais. Kwa uelewa kidogo nilionao naona kiutendaji Naibu rais ananguvu kuliko Makam wa rais..... Je imekaaje vyote ni sawa au kunautofauti? Karibu kwa mchango wako

kaimu rais ni wa mda tu. naibu rais ni lugha ya kiarabu ina maana ya makam wa rais
 
Mkuu acha kujifanya kipofu,tunao tayari!![emoji53][emoji53]
 
Hapa TZ naona ipo shida pahala, Makam wa Rais ; Kishondo chake hakifikii cha Waziri mkuu.Si kwa awamu hii pekee,awamu zote.
Ladda tutajua umuhimu zaidi siku Muumba akimpenda zaidi mkuu.
 
kaimu rais ni wa mda tu. naibu rais ni lugha ya kiarabu ina maana ya makam wa rais
Kaimu raisI sawa wa muda lakin iyo naibu tofaut na makam wa rais kiutendaji, I mean naibu rais yupo active kwenye daily activities haijalishi rais yupo au hayupo lkn makam nasubili mpaka rais ayupo
 
Nini tofauti kati ya Makam wa rais, Naibu rais na Kaimu rais. Kwa uelewa kidogo nilionao naona kiutendaji Naibu rais ananguvu kuliko Makam wa rais..... Je imekaaje vyote ni sawa au kunautofauti? Karibu kwa mchango wako
Naibu ndie Makamu,
Ye hua anakua yupo hata pale ambapo Rais nae yupo. Itategemea tu mmeamua au kuchagua kutumia jina lipi. Yaani ni kawaida kua na Rais na makamu/naibu wake at the same time.

Ila Kaimu Rais ni kitu kingine. Huyu hawezi kuwepo wakati Rais yupo. Kaimu Rais ni yule anaekuwepo kwenye nafasi ya Urais pale ambapo Rais mwenyewe hayupo. Kwa Hiyo Kama Rias akiwa hayuko anaechukua nafasi yake ni Makamu Rais basi ye ndie Kaimu Rais kwa wakati huo.

Hapa nimekujibu kadiri navyoelewa maana ya haya maneno bila kujali nani amezungumza nini.
 
tapatalk_1490160161772.jpeg
 
Kamata dictonary uako. Angalia kama deputy na vice zina maana moja.
 
Kwa Tanzania Naibu Rais ni Daudi Albert Bashite kwa jina feki la Paul Makonda..
Na Makamu wa Rais ni Mama Samia Suluhu Hassan.
 
Kwa sababu reference yetu waswahili ni kiingereza basi tafuta tofauti kati vice president na deputy president ikiwa ni makamu wa rais na naibu rais respectively na ongezea acting presdent kwa kaimu rais.
Vile vile cheki kwa nini south Africa na Kenya wanatumia naibu rais
 
A deputy acts the power of the same nature with his boss while vice may differ until when boss specifically grants those power to his vice
 
Back
Top Bottom