Nilishinda shauri la ardhi na kupewa idhini ya kubomoa ukuta uliojengwa kimakosa. Pia nikapewa dalali na mahakama ili akatekeleze ubomoaji. Dalali nikamlipa pesa nyingi.
Kabla dalali hajavunja mkosaji akaenda mahakama ya juu( wilaya) kuomba hukumu ifanyiwe mapitio(Kumbuka kwenye shauri la msingi hakukata rufaa).
Maswali yangu ni haya-:
1. Nini tofauti ya mapitio na rufaa?Vyote vina matokeo sawa?
2. Je pesa niliyomlipa dalali inaweza kurudishwa?