Wamekwenda kushereheka Christmas na mwaka mpyaWanasheria mmeenda wapi
Asante sana kwa ufafanuziMarejeo ni hali ya kuomba muongozo ktk mahakama ya juu kwa muombaji kuiambia mahakama irejee maamuzi ya mahakama iliyopita kwakua yeye muombaji ana hisi kuna uvunjifu mkubwa sheria ktk maamuzi hayo aidha ni mwenendo au hukumu yenyewe (illegality of the procedures and decision).
Rufaa ni hali ya mtu ambae hakuridhika na maamuzi ya mahakama iliyopita kwenda mahakama ya juu yake kuomba uamuzi ubatilishwe kwakua maamuzi yamekosewa kisheria na ki sababu (errors in law and facts).
Hazifanani kwakua marejeo mahakama ya juu inaangalia tu kama kuna illegality ya procedures na decisions, wakati rufaa ni mahakama inamsikiliza mrufani ana hoja gani hasa hoja zake ziwe za kisheria na ki sababu zingine.
Ukiona mtu amekimbilia marejeo mara nyingi hua anakua yuko nje ya muda wa kukata rufaa, coz ni risk ukishindwa hautakua na pa kwenda tena maana hautaruhusiwa tena kukata rufaa au kuomba marejeo zaidi tena, ni mawakili wasio jua tu ndio hua wanaomba marejeo, na mtu hawezi akatumia marejeo kama rufaa, na mahakama ya rufani imekwisha onya mara kadhaa kwamba revision its not appeal in disguise.
Kwenye jambo lolote lile omba rufaa na sio vinginevyo na mahakama zingine hua zinayatupia mbali maombi ya marejeo ikiwa mtu uyo angeweza kukata rufaa na maamuzi yapo kabisa kwamba option namba moja ya maamuzi yoyote yale ni rufaa na sio marejeo.
Safi sanaMarejeo ni hali ya kuomba muongozo ktk mahakama ya juu kwa muombaji kuiambia mahakama irejee maamuzi ya mahakama iliyopita kwakua yeye muombaji ana hisi kuna uvunjifu mkubwa sheria ktk maamuzi hayo aidha ni mwenendo au hukumu yenyewe (illegality of the procedures and decision).