Nini tofauti kati ya riwaya na tamthiliya

dibk

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
424
Reaction score
365
ndg wana JF, Mwenye kujua kwa ufasaha tofauti kati ya riwaya na tamthiliya anisaidie jaman.
 
dibk
.
Riwaya = Novel

Riwaya ni kazi andishi ya fasihi ambayo kwa kawaida ni ndefu zaidi kuliko hadithi fupi.

Urefu wa riwaya, maana yake ni kwamba msuko simulizi umejengeka vizuri, kuna wahusika wengi, inaenea muda mrefu, na mada zake ni nzito na pana kiasi.

Mifano mizuri ya riwaya kwa lugha ya Kiswahili ni Riwaya ya KULI mwandishi akiwa ni Shafi Adam Shafi.

Tamthilia:

Tamthilia (pia: Tamthiliya au Tamthilia-Mchezo) ni moja kati ya sehemu ya utunzi wa hadithi au fasihi simulizi(ngano au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona kupitia katika makumbi au televisheni, kusikia kupitia katika redio.

Tamthilia au mchezo mara nyingi huwa mazunguzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutizami katika TV tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.

Watu tunaowaona wanafanya tamthilia ni waigizaji; katika ukumbi wa maonyesho husimama juu ya jukwaa na kuanza kutoa burudani huku watu wakiwaangalia (watazamaji) wanaweza wakawaona vyema kabisa.

Mwongozaji ana wasaidia waigizaji waigizaji kufanya kazi zao vyema, au anawaeleza namna ya mchezo jinsi vile unavyotakiwa kuchezwa.

Kuna aina nyingi ya michezo au tamthiliya, lakini kuna michezo sita ambayo inaonekana kuwa muhimu kupita yote:

  1. Trejidia - huu ni mchezo wa huzuni tu, kwa sababu ya mikosi na nuksi, kwa sababu ya mbabe hayuko ngangali, au kwa sababu za kimila au imani fulani.
  2. Komedia - huu unaishia na vichekesho tu. Vitu vilivyo katika mchezo huu ni vya kuchekesha; una vunja mbavu.
  3. Domestiki drama au Igizo la kawaida - huu ni mchezo wa maisha ya kawaida, familia na marafiki.
  4. Trejikomedia - huu ni mchezo wa vitu vyote vichekesho na huzuni hali kadhalika.
  5. Melodrama - huu mara nyingi unaishia na furaha. Ndani yake kunakuwa na maadui - watu wabaya - lakini mbabe hushinda. Msisiko wake una kuwa mkali sana.
  6. Simboliki - huu una husu fikra za uigizaji au mchezo. Watu wachezao katika mchezo wala sio muhimu.

Simboliki pia waweza kuitwa kwa jina la kitaalamu kama expressionistic. Ni kuhusiana zaidi na waongozaji na watunzi wakiwa wanatoa fikra zao katika mchanganuo tofauti.
 
kula like kwa maelezo makinifu.
 
Good teacher haya no maelezo ya mtu mzamilifu wa fasihi siyo tu majibu hovyo niliyoyaona huko juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom