Nini Tofauti kati ya Toyota Rav4, RUSH na Vaguard

Nini Tofauti kati ya Toyota Rav4, RUSH na Vaguard

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Kimwonekana haya magari hayatofautiani sana kwa mtu mgeni na magari hatoweza kuyatofautisha,
Je magari haya yana utofauti gani zaidi ya mwonekano?
 
Vingine vyote yanafanana? Mbona Rush inauzwa ghali sana up to 20M?
Body ya rush ni ndogo huwez fananisha na vanguard ukiziangalia kwa makin... kuhusu bei mimi sio mtaalamu wa bei ila naingia sana beforward kuangalia magari kwahyo magari yanajua kuliko mwenye showroom naweza kumshinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kupanga kuanzia gari ya thamani ya chini kwa muenekano hata kwa bei
  1. Rush hsiwezi shindana na
  2. RAV 4 nayo haiwezi shindana na
  3. Vanguard
labda kwa mujibu wa Wikipedia baada ya RAV4 ikafuata Vanguard
List of Toyota model codes
engine) 2006–present Toyota RAV4 2007–present Toyota Vanguard GSA platform (2GR engine) 2006–present Toyota Rav4 2008–present Toyota Vanguard UCF Platform (1UZ
Rav 4 vs Vanguard - JamiiForums
 
Back
Top Bottom