Nini tofauti ? Tumaini university iringa na university of iringa

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
143
Wakuu salama ? kwa wale wanaojua tunaomba kuelewa kama ni tofauti au ni chuo kimoja ni majina tu
 
Inaitwa iringa university college..ni tawi la tumaini.over
 
University of Iringa ni jina litakaloanza
kutumika mwakani,yaani Tumaini University
itabadilika.
 
Tumaini University Tawi la Iringa ndio inakuwa Iringa University ikijitenga na Tumaini na kuwa Chuo Kikuu kamili kinachojitegemea. Makao makuu ya Tumaini colleges zilizobaki yanakuwa Makumira.
 
Tumaini University cha Iringa baada ya kujitenga na vyuo vya Tumaini kimekua chuo kikuu kamili na sasa kinaitwa University of Iringa.
 
Tumaini ya iringa ni tofAUTI NA UNIVERSITY OF IRINGA ,AU NI VYUO VWILI TOFAUTI,UNIVERSITY OF IRINGA NI KIPYTA NDO KINAANZA:crutch:
 
Tumaini university college iringa na Iringa university ni chuo kimoja....ambapo mwanzo kilijulikana kama chuo shirikishi cha tumaini bt nw kimekua university of Iringa.
 
Mi kidogo natatizika nilikuwa najua Tumaini Iringa kiluchoanzishwa 1994 ndo main campus, na vingine ni branches,hii imekaeje!?
 
arusha nowdayz ndio main campus ko hiyo ya iringa inajitegemea!
 
Duh!hii ni mkangalanyiko sasa m2 akimaliza chuo anatambulika ametokea wapi kati ya hvyo v3 vilvyotajwa?
 
hakuna tofauti kwasababu wote mmefeli

Siyo kweli kwamba tumefeli, hapa tcu na nacte wametuleta kama ambavyo na wewe wamekupeleka sehemu nyingine, tuna ufaulu mzuri sana kuliko unavyodhani. Kama mimi kiukweli nimefurahi sana kupata IUCO (2nd choice) kwa sababu nitaendelea kusoma huku nikiendelea na kibarua changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…