Nini tofauti ya Advanced diploma na postgraduate diploma?

Uliotoa uzi huu product ya hizi shule za Kata au? Maana sijawahi sikia kitu kinaitwa ‘Advance Diploma’ bali najua kitu kinaitwa ‘Advanced Diploma’. Hata kuna baadhi utasikia wanasema ‘Advance Level’ badala ya ‘Advanced Level’. Ama kweli elimu ya sasa kwa vijana mnaomaliza vyuo nsipa heko kwa kweli! Duuh!
 
Mkuu ww unajua kila kitu Au ujawahi kukosea yani maneno yote ayo umeona tu iyo advance
Sawa nashukuru nimejua ni advanced diploma na sio advance diploma
Lakini unapomrekebisha mtu sio vizuri kukejeli
 
"nsipa" ni nini mkuu?
 
Mkuu ww unajua kila kitu Au ujawahi kukosea yani maneno yote ayo umeona tu iyo advance
Sawa nashukuru nimejua ni advanced diploma na sio advance diploma
Lakini unapomrekebisha mtu sio vizuri kukejeli

Rudi darasani.
 
Mkuu ww unajua kila kitu Au ujawahi kukosea yani maneno yote ayo umeona tu iyo advance
Sawa nashukuru nimejua ni advanced diploma na sio advance diploma
Lakini unapomrekebisha mtu sio vizuri kukejeli

Siwezi kukosea maneno kama hayo kwa sababu hata nilivyokuwa nasoma hatua hiyo hayakuwa yanaandikwa wala kutamkwa hivyo. Ni sawa umwambie mtu anakosea kuandika jina lake na hasa la ukoo, mbona itakuwa balaa!
 
Wataalamu naomb msaada wenu
Mtu aliye maliza advance 4m 6 anaweza
Kusoma postgraduate na kama
Ataweza ni kwa alama ganii
 
Nashukuru kwa marekebisho yako, uko sahihi, jina ni Advanced Diploma na sio Advance Diploma, ni kuteleza tu katika uandishi, lakini nikupongeze zaidi wewe ambae sio product ya shule za kata mwenye maarifa yaliyojaa hadi kupitiliza na busara kubwa sana ambae uliona kukosoa tu ktk mtizamo chanya huwez ila ni kuwa kukashifu kwanza, hakika mliosoma zamani mmeelimika sana, ubarikiwe!!
 
Asanteh kwa mtoa post, na mimj nilikua mara nyingi najiuliza swali kama hili...sikujua utofauti hasa uko wapi....

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndo ipo sahihi zaidi. Nlienda mafunzo ya LMA Nlifundishwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…