kajifunze preposition kwanza..
(3) B.Education(B.Ed) i.e Digrii ya Ualimu...unakuwa ''full teacher'' Japo scale yake ya mshahara ipo tofauti na no. 1 na 2, Lakini ukishasoma hii huwezi kuchepuka kwenye field nyingine tofauti na Ualimu kwenye ''level'' ya ''Masters''.Pia, wengi wanaosoma hiyo ni watu wazima hasa wale waliokuwa walimu wa Dip. Ni nadra sana kwa ''direct entry'' kupata hiyo nafasi.sidhani kama kuna mabadiliko ya hivi karibuni, ila with reference na UDSM, I think the following apply; (1) BA with education means you take two teaching art subjects plus one subject of education; (2) BA in education means you take one teaching art subject and two educations; and (3) BA education means you take only education courses !!! check other comments for more clarifications...!!! Ubora wa program husika inategemea na malengo yako binafsi, lakini hapa nimejaribu kupanga in the order of marketability..
Iliyopo ni BA with Ed, B. Ed in Arts, ya juu unasoma masomo mawili na unaandiliwa kuwa mwalimu wa sekondari. Ya pili unasoma somo moja na unaandaliwa kuwa mwalimu wa chuo cha ualimu.
lakini mwisho wa siku wote wanapangwa sekondari
Vuuuuuu paah heheheee hii Tz[/QUO
una uhakika?
Upo sahihi. Ila katika suala la kujiendeleza inakuwa shida sana kwa mtu wa B.Ed kusoma Masters ya Kozi nyingine tofauti na Education. wakati, B.A with & B.A in ni rahisi na unakuwa na uwanja mpana wa kuchagua Masters ya kusoma.
kwa hiyo hiyo ndiyo tofauti yenyewe?nakubaliana na wewe coz ukisoma Bed masters utasoma huku huku kwenye elimu
Upo sahihi. Ila katika suala la kujiendeleza inakuwa shida sana kwa mtu wa B.Ed kusoma Masters ya Kozi nyingine tofauti na Education. wakati, B.A with & B.A in ni rahisi na unakuwa na uwanja mpana wa kuchagua Masters ya kusoma.
mnavyosema inakua shida mnamaanisha nn!!?kn watu wamemaliza BED na wanasoma MA na MSc ya vitu vingine km kawa!
mnavyosema inakua shida mnamaanisha nn!!?kn watu wamemaliza BED na wanasoma MA na MSc ya vitu vingine km kawa!
kwa hiyo hiyo ndiyo tofauti yenyewe?
Pia choice za Masters inakuwa ishu coz unakuwa umesoma subject moja tu mf. Geo, Hist, nk
kwl choice inakua ni ndg ukilinganisha na wa BA au BSc!ila Masters sio lazima kusoma ED mkuu, kn watu nimesoma nao wapo AIST wanagonga vitu tofaut kbs!
Vitu tofauti kama nini? psychology!! Management!!
computional science and engneering!wengne wapo UD enviromental nk!!
Yap, kwa hizo coz nakubaliana na wewe lkn sidhani kama walikuwa wamesoma Bed. huyo wa comp.scie & eng atakuwa alisoma Bsc. in/with edu na wa env atakuwa alipiga BA/Bsc in or with edu na kama alisoma EDU itakuwa ni Bed (geo). Nimedownload hapa coz za hiyo Mandela inst. Ila yote yanawezekana. si unajua tena hapa ni Duniani na zaidi sana ni Bongo.