nini tofauti ya BBA na B.Com?

nini tofauti ya BBA na B.Com?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
Ndugu zangu ningependa kujua kama kuna utofauti kati ya Bachelor of Business Administration (BBA) na Bachelor of Commerce (B.Com)
 
Yn utofauti kama hv bba inahusisha
1 account
2 marketing
3 human resource
4 managment skills
5 enterpreneurship
6 production
7 finance
8 economics
yn hapo course zote za bznec zinaxanda miaka mia teh teh teh
 
Heh hilo jibu lako nina wasiwas nalo,human resource inaingiaje hapo,anyway labda kila chuo kina namna ya kuzidescribe.ila kama wewe ni mwanafunzi wa chuo unataka kujua uende ipi bs jua kuna majoring tofautitofauti.na kwa vyuo tofaut.mfano udsm kuna bcom hakuna bba,mzumbe kuna bba hakuna bcom.na bba ya mzumbe ina major ktk marketing,enterpreneurship na procurement...kwa muccobs pia kuna bcom nadhan,wengine watakueleza zaidi
 
Yn bba in general ndo ipo pouwa bt vyuo vingne hudeal na course moja 2 mfano marketing
 
Kwa uelewa wangu ni kua business administration is a morden way of commerce ambapo yule anae soma BBA anapata nafasi ya kufaham mambo mengi ktk field za kibiashara japo ni kwa uchache uchache tu ukilinganisha na yule wa commerce kwa maana lazima atatakiwa kusomea eneo moja kea upana zaidi mf.accounts,marktng etc
Pia mtu wa BBA anakua ameandaliwa Rasmi kua mtawala ktk shughuri za kibiashara mfano manager,suppervisor,administrator,nk. Ambapo inamuwia rahisi kwa yy kua msimamizi kwa kua tayar kwa uchache anakua anafaham maeneo mengi ktk shughuri za shirika au kampuni hiyo tofauti na yule wa commerce ambae anaandaliwa kua mtaalam wa eneo moja.
Pia si vyuo vyote vinatoa hizi kozi ktk ufanano wengine waliamua kuifanya BBA kama ambavyo commerce inafundishwa,ila pia kuna sehem BBA huwa inafundishwa general na ndio inayoendana na maelezo yangu.
Mwisho kabisa ni kua degree zote ni nzuri na ndo maana zimeanzishwa ktk maisha yetu na zinakua zinamahtaj yake kila moja.
Wewe unatakiwa uchague ile inayo endana na mahtaj yako ya kielimu na maisha kiujumla na sio kusikiliza watu wanataka usome nini.
Nawasilisha
 
.
.
.
.
.
kozi huwa zinatolewa kulingana na mitaala.....mitaala huwa inatengenezwa kutokana na kitu kinaitwa situational analysis ambayo inakuwa imeona na kuridhika kwamba kuna pengo la wataalamu fulani linatakiwa kuzibwa. kwa hiyo situational analysis zinakuja na majibu tofauti kulingana na mazingira na muda na hata wataalamu walioshiriki. mitaala ikishakamilika huwa kuna kitu kinaitwa stakeholders workshop report ambapo kunakuwa na washika dau mbalimbali kama waajiri, qataalamu mbalimbali ,selikali ,wawakilishi wa jamii lengo lao likiwa ni kuangalia kama pengo lililoelezwa katika situational analysis linaweza zibwa na huo mtaala......
.
.
.
.
.
sasa basi mtaala wa chuo kimoja unaweza kuwa tofauti na wa chuo kingine.....unaweza ukakuta zote ni accounts labda,lakini ya mlimani ikatofautiana na mzumbe japo tofauti zinaweza kuwa sio kubwa.
.
.
.
.
cha muhimu ni kuelewa kwamba yale ya darasani yanapangwa ili kumjengea mtu uwezo wa kuyatumia katika uhalisia.......mfano maswali yote utakayokutana nayo kwenye mitihani hakuna hata siku moja utakutana nayo katika kazi ila utatumia ujuzi kutatua tatizo hilo.





nawakilisha
 
s.
.
.
.
situational analysis>curricular>stakeholders workshop report
.
.
.
kwa hiyo jibu ni ndio kuna tofauti kati ya bcom na bba......ukitaka kujua tofauti zake ni lazima uwe specific na labda ungeuliza nini tofauti ya bcom na bba ya mlimani ningeweza kujibu kwa urahisi kwa kuangalia kitu kinaitwa qualification discriptor.......zaidi ya hapo tofauti ni kwamba hii ni bachelor in business admnistration na ile ni bachelor of commerce.
.
..
.
.
.
.
ni hayo tu
 
Bcom ni coz ya kwanza kabisa ya buashara ktk level ya chuo kikuu, baada ya muda ikaonekana biashara imekua kwa kasi na uchumi kukua hivyo ikahitajika elimu pana zaidi ya utawala wa biashara ndipo wataalam wakaja na uanzishwaji wa BBA ukiwa umejumuisha yale masomo yote yaliyokuwa kwenye BCom na kuyaongezea mengine zaidi kulingana na uhitaji wa ulimwengu wa kibiashara na maendeleo ya technologia.

Baada ya kuona kuwa biashara imeingia ktk globalization na kuifanya dunia kibiashara iwe kama soko moja, wataalam wakakaa chini kutafakari na kuona kuwa bado kuna mapungufu ktk BBA kwa sasa hivyo wakaibuka na maboresho mapya kulingana na uhitaji wa soko, wakaja na BIBA kwa maana ya bachelor of international business administration ili kuweza kuwashape mamanager wa biashara waendane na globalization.

Sasa ktk BIBA watasoma Global market, Global production, International human resource management, international business management, internarional accounting nk.

Kuonyesha kuwa BCom ni old school walikuwa hawatoi coz ya hrm bali walikuwa wanatoa pasonnel management. Sasa ktk bba wamekuja na hrm badala ya pasonnel management ambayo ilikuwa inamwona mwajiliwa ni kama mtumwa na chombo tu cha uzalishaji, but hrm ikaja na neema kwa mwajiliwa hivyo kuwa concerned hata na maisha ya mwajiliwa nje ya ofisi. Kwa wafanyakazi mtanielewa ninachomaanisha.

Ndio maana mamanager waliosoma BCom zamani wengi hawana utu kwa kumjali mfanyakazi kulinganisha na wa kisasa waliosoma bba ktk hrm.

Sasa BBA inauwanja mpana zaidi kwani unaweza kumeja kwa bba ktk accounting, bba ktk finance, bba ktk marketing, bba ktk hrm, bba ktk procurement, nk
 
Back
Top Bottom