Nini tofauti ya dismiss case na struck off?

Case ikiwa dismissed ni kwamba imeondolewa permanently (incurable) na huwezi kufanya lolote zaidi ya Appeal to the higher jurisdiction!

Case ikiwa struck out, ni kwamba imeondolewa tu (curable) , lakini unaweza kufanya application (under chamber summons supported by an affidavit) ukairudisha kama utakuwa na strong reasons!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…