chopeko
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 1,528
- 1,108
Katika kupitia vitabu na machapisho tofauti nimekutana na vitu viwili ambavyo nashindwa kuelewa ni kitu kimoja au ni vitu viwili tofauti!.
Kuna kitu kinaitwa The Universe alafu kuna God
Kwanza kabisa niseme kwamba naamini uwepo wa Mungu (God). Na najua uwezo wake ni juu ya uwezo wangu na ndiye Muumba wa mbingu na dunia.
Sasa kuna vitabu hivi viwili The Secret na The Alchemist, kama umefanikiwa kuvipitia nimeona mara kadhaa nafasi ya Mungu ninaye mjua mara nyingi wanai-replace na The Universe. Sasa nashindwa kuelewa The Universe ndiye Mungu au waandishi wa hivyo vitabu hawautambui uwepo wa Mungu??