Pre GE2025 Nini tofauti ya maandamano afanyayo Makonda na yatakayofanywa na CHADEMA?

Pre GE2025 Nini tofauti ya maandamano afanyayo Makonda na yatakayofanywa na CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Wadau nawaomba kufahamu TOFAUTI ya MAANDAMANO anayofanya MAKONDA yakiwa na MISULULU ya Watembea kwa miguu bodoboda Bajaji na magari wakiwa na Bendera za CCM na yatakayofanywa na CHADEMA?

Naamini hata CHADEMA yatakuwa na Misululu ya Magari bajaji bodaboda na Watembea kwa Miguu?
 
Jana Amani Golugwa, katibu wa chadema kanda ya kaskazini amesema kwamba Chadema wamekodi vikosi vitatu vya wamasai, nadhani wanajiandaa kufanya vurugu kubwa sana, waharibu mali na kuiba mali za raia wema
 
Usilinganishe creche na University......tena creche kiwango. cha UJIMA tena ule ujima wa zama za mawe
 
Back
Top Bottom