Wadau nawaomba kufahamu TOFAUTI ya MAANDAMANO anayofanya MAKONDA yakiwa na MISULULU ya Watembea kwa miguu bodoboda Bajaji na magari wakiwa na Bendera za CCM na yatakayofanywa na CHADEMA?
Naamini hata CHADEMA yatakuwa na Misululu ya Magari bajaji bodaboda na Watembea kwa Miguu?
Jana Amani Golugwa, katibu wa chadema kanda ya kaskazini amesema kwamba Chadema wamekodi vikosi vitatu vya wamasai, nadhani wanajiandaa kufanya vurugu kubwa sana, waharibu mali na kuiba mali za raia wema