Nini tofauti ya maneno haya ya kiswahili

Me370

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
985
Reaction score
293
Heyyyyyy

Kumekucha,,

Nsaidieni nini tofauti kati ya malaya na kahaba ?

Unaweza ukawa kahaba na usiwe malaya & vice versa
 
Kwa ninavyo elewa mimi:

Malaya/umalaya: Ni kitendo cha mtu mke au mme kushiriki katika zinaa na watu mbalimbali...basi yule mshiriki huitwa malaya. Huwa mara zote malaya huwa anakuwa na wapenzi wengi kwa kipindi kimoja
Kahaba/ukahaba: ni kitendo cha watu wawili wenye jinsia tofauti kuishi pamoja bila ya kuwa ndani ya ndoa na kufanyiana yote ambayo wanandoa hufanyiana. Mwenye kufanya kitendo hicho huitwa kahaba
 
Mmoja ni mzinzi kwa raha zake mwingine ni mzinzi kibiashara!
 
Kwa ninavyo elewa mimi:

Malaya/umalaya: Ni kitendo cha mtu mke au mme kushiriki katika zinaa na watu mbalimbali...basi yule mshiriki huitwa malaya. Huwa mara zote malaya huwa anakuwa na wapenzi wengi kwa kipindi kimoja
Kahaba/ukahaba: ni kitendo cha watu wawili wenye jinsia tofauti kuishi pamoja bila ya kuwa ndani ya ndoa na kufanyiana yote ambayo wanandoa hufanyiana. Mwenye kufanya kitendo hicho huitwa kahaba
ya juu nakubaliana nayo lakini hii kwenye nyekundu hawa niwafanya biashara WAO WANAUZA!
 
Kwa ninavyo elewa mimi:

Malaya/umalaya: Ni kitendo cha mtu mke au mme kushiriki katika zinaa na watu mbalimbali...basi yule mshiriki huitwa malaya. Huwa mara zote malaya huwa anakuwa na wapenzi wengi kwa kipindi kimoja
Kahaba/ukahaba: ni kitendo cha watu wawili wenye jinsia tofauti kuishi pamoja bila ya kuwa ndani ya ndoa na kufanyiana yote ambayo wanandoa hufanyiana. Mwenye kufanya kitendo hicho huitwa kahaba

Hicho unachoongelea kwenye Ukahaba sio ukahaba ni UZINZI....
 
Umalaya ni uzinzi uliokithiri. Malaya anazini kwa starehe za mwili na ridhiko la nafsi yake. Hili kundi linajumuisha wanawake kwa wanume. wale ambao wanabadilisha mademu au wavulana kama nguo.

Kahaba au prostitute au hooker ni mtu anayejiuza. Yaani anatumia mwili wake kama kitega uchumi. aka Changudoa. katika nchi za wenzetu ukahaba/ prostitution inaweza kusajiliwa kama bishara rasmi kama sheria na taratibu zote zikifuatwa..
 
.
.
.
malaya anafanya kwa raha zake
kahaba anafanya kwa pesa

mtu anaweza kuwa kahaba na malaya at the same temperature in the different continum
.
.
.
malaya<------------0------------>kahaba
kawaida

pale zero ni mtu ana mpenzi mmoja

kwa hiyo kuna pia swala la malaya sanaa au kidogo

teh teh teh mawazo tu haya
 
Malaya n mtu mwenye mpenzi zaidi ya mmoja na kahaba ni mtu anaefanya biashara ya kuuza mwili

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom