ya juu nakubaliana nayo lakini hii kwenye nyekundu hawa niwafanya biashara WAO WANAUZA!Kwa ninavyo elewa mimi:
Malaya/umalaya: Ni kitendo cha mtu mke au mme kushiriki katika zinaa na watu mbalimbali...basi yule mshiriki huitwa malaya. Huwa mara zote malaya huwa anakuwa na wapenzi wengi kwa kipindi kimoja
Kahaba/ukahaba: ni kitendo cha watu wawili wenye jinsia tofauti kuishi pamoja bila ya kuwa ndani ya ndoa na kufanyiana yote ambayo wanandoa hufanyiana. Mwenye kufanya kitendo hicho huitwa kahaba
Kwa ninavyo elewa mimi: