Msomi ni mtu aliyepata elimu au maarifa kupitia kusoma, kujifunza, na kuelewa mambo kwa kiwango fulani.Kusoma hakumuondolei mtu upumbavu kuna kusoma na kuelimika wengi wamesoma Ila hawajeelimika hujawai kumuona msomi anaweka vidore puani tena bila kitambaa anachokonoa uchafu?
NaamMsomi ni mtu aliyepata elimu au maarifa kupitia kusoma, kujifunza, na kuelewa mambo kwa kiwango fulani.
Asiye msomi ni mtu ambaye hajapata elimu hiyo kwa kiwango hicho, au hana mafunzo rasmi ya kutosha katika eneo fulani.
Hata hivyo, kuwa msomi hakumaanishi mtu ana hekima zaidi katika kila jambo, na asiye msomi haimaanishi hana maarifa. Watu wengi wasio na elimu rasmi wanaweza kuwa na uzoefu, ujuzi, na busara kubwa katika maisha au kazi zao.
πππ chukuaπΉπΉMsomi ni mtu aliyepata elimu au maarifa kupitia kusoma, kujifunza, na kuelewa mambo kwa kiwango fulani.
Asiye msomi ni mtu ambaye hajapata elimu hiyo kwa kiwango hicho, au hana mafunzo rasmi ya kutosha katika eneo fulani.
Hata hivyo, kuwa msomi hakumaanishi mtu ana hekima zaidi katika kila jambo, na asiye msomi haimaanishi hana maarifa. Watu wengi wasio na elimu rasmi wanaweza kuwa na uzoefu, ujuzi, na busara kubwa katika maisha au kazi zao.
Mkuu nimekusaidia kwamba ukitaka kumjua mpumbavu ni mtu wa aina gani basi sample specimen mchukue MKANGAFFU niamini mimi kwenye upumbavu tu hatokuangushaHuu uzi natamani usiharibike kwa battle kama hizi ambazo hazihusihusiani na mada so please acheni
Ushauri gani tena mchumba nimesahau πShesRise_1 mchumba una akili sana fanyia kazi ushauri wanguππ
Na hii ndio maana ya Mjinga, ShesRise_1 naona majibu unayapata kwa watu wa humu humu wala hautumii nguvu kubwa kupata majibu ya maswali wajinga wapo humu, wapumbavu wapo humu, wasomi wapo humu na ma-genius wapo humuHuenda, narudia tena neno "huenda" msomi kuanzia shahada kwenda juu, chini ya hapo sio msomi.
Kweli wadau wamefafanua nimejifunza kutofauti mamboNa hii ndio maana ya Mjinga, ShesRise_1 naona majibu unayapata kwa watu wa humu humu wala hautumii nguvu kubwa kupata majibu ya maswali wajinga wapo humu, wapumbavu wapo humu, wasomi wapo humu na ma-genius wapo humu
Huyo ni kiazi mpumbavu mmoja hivi ana mambo ya kijinga yamemjaa kichwani, cha kukusaidia ni hivi hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli, rudia kusoma nilipoweka bold pale juuMbona huaga ana comment madini sana mna tofauti yoyote?
Basi imalizeni amani itawale
Haya sawa kaka hakuna tabuHuyo ni kiazi mpumbavu mmoja hivi ana mambo ya kijinga yamemjaa kichwani, cha kukusaidia ni hivi hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli, rudia kusoma nilipoweka bold pale juu
Nimekwambia watu sio mambo wajinga na wapumbavu tunao humu ndani na unapishana nao kila sikuKweli wadau wamefafanua nimejifunza kutofauti mambo
Haya sawa π€Nimekwambia watu sio mambo wajinga na wapumbavu tunao humu ndani na unapishana nao kila siku
Karibu tena, una swali lingine uliza ujibiweHaya sawa π€
Kwa sasa hapana shukrani πKaribu tena, una swali lingine uliza ujibiwe
Naomba niyapate offlineπππ chukuaπΉπΉ
HayaNaomba niyapate offline
NdioKwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?
Leo napata comment za madini tupu siku yangu imebarikiwaKitu kimoja nasema kila siku..
Kuna akili si ndio intelligence ama? na maarifa ndio knowledge eeh!!
Akili mtu anazaliwa nayo, shule inakupa maarifa, maarifa pia tunayapata mtaami hadi mtandaoni.
Akili ni uwezo wa mtu katika kulisoma jambo, kuling'amua kulichakata na kufanya maamuzi..
Mfano tuko darasani.. mwalimu akasema kujumlisha ni kuongeza idafi, mfano 2+2=4
KIsha akatoa swali juma alikuwa na embe 2, akaokota 2, jumla atakuwa na embe ngapi..
Sasa hapo akili ndio inatumika, baada ya maarifa yale aliyokupa mwalimu.
Huo ni mfano mdogo, unakuoa muongozo..
Na intelijensi inazidiana.. messi ni intelligente kwenye mpira wa miguu, laki i unaweza ukashangaa kuna vitu vinamsumbua maishani, haswa katika kufanya maamuzi sahihi..
Unaweza ukakuta mtu ni dr. Wa uchumi kabisa lakini mambo madogo madogo katika familia yake yakamsumbua.
Mtu anaweza akawa kilaza wa somo fulani lakini akawa bora katika kufanya jambo fulani, kuchukua hatua, kusolve mambo mengine n.k
Kuwa na akili ni jambo pana sana, na watu wana akilo za tofauti, usishamgae eisten migogoro ya ndoa alikuwa anasaidiwa na kilaza tu kama MIMI π€£π