harry kassege jr
Member
- Nov 12, 2016
- 10
- 2
Habari wakuu,
Baadhi ya watu hawajui kutofautisha matumizi ya perfume na body spray?!
Je wewe wajua?
Baadhi ya watu hawajui kutofautisha matumizi ya perfume na body spray?!
Je wewe wajua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. Perfume/cologne haipaswi kupulizwa kwenye nguo. Inapukizwa mwilini kwenye pulse points (sehemu ambazo unaweza kuhisi mapigo ya moyo ukigusa mishipa ya damu).Body spray ni ya mwili wakati perfume ni ya nguo/vazi