harry kassege jr
Member
- Nov 12, 2016
- 10
- 2
Sio kweli. Perfume/cologne haipaswi kupulizwa kwenye nguo. Inapukizwa mwilini kwenye pulse points (sehemu ambazo unaweza kuhisi mapigo ya moyo ukigusa mishipa ya damu).Body spray ni ya mwili wakati perfume ni ya nguo/vazi