Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe mfano wa huyo General Secretary serikalini!Haya majina yote hutumika kumaanisha Makatibu wa Wakuu japo kwa Kiingereza utakuta yanaandikwa kwa style tofauti ndani serikali hiyo hiyo.
Je kuna tofauti yoyote kisheria kwenye title hizo?