Petty cash ni ushahidi wa mpekeaji na mtoaji wa hela taslimu kupokeewa na muhusika ndio maana kuna sehemu za signature za wote wawili,
Cash sale ni malipo ya mauzo yaliyouzwa kwa pesa taslim, proforma invoice inatumika kama kielelezo cha bidhaa zinazohitajiwa pamoja na bei zake, hutolewa kwa mtu anaetaka kufanya manunuzi kuipeleka ofisini ili iweze julikana bei za bidhaa na kiasi cha pesa kinachotakiwa kulipwa, na hailazimishi aliepewa proforma invoice kuja kufanya manunuzi kwa duka lilotoa hiyo proforma, muhusika anaweza pitia sehemu tofauti na kupokea proforma ili aweze linganisha bei ubora wa bidhaa na terms za malipo, erceipt hutolewa baada ya kukamilisha malipo iwe kwa cash, au cheque. Hivi ndivyo ninvyoelewa nasubiri mawazo ya wengine pia.