Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nipe ushauri kuhusu hii gari, nipo njiapanda kati ya Allex na Runx. Binafsi nahitaji alex ila kuna jamaa kaja na runx ipo poa sana anasema zipo sawasawa tu. Kindly advice on runxRunx ni more sporty na Allex ni normal ila spacious. Vingine sawa tu.
Natumia Runx 02 1NZFE sijawahi kujuta.
Mkuu nipe ushauri kuhusu hii gari, nipo njiapanda kati ya Allex na Runx. Binafsi nahitaji alex ila kuna jamaa kaja na runx ipo poa sana anasema zipo sawasawa tu. Kindly advice on runx
Kwa wwny uelewa na uzoefu wa toyota allex na runx, nini tofaut ya hizi gari, na kama kununua ipi the best, maana hapa nilitaka kuagiza runx 2WD white. Kupitia SBT,
Naombeni advice ya kitalamu
Naunga mkono hoja.Runx ni bora zaidi kwasababu ni Descendant wa family ya Corolla. Ni ngumu na inatumia mafuta kidogo sana..
Mkuu nimechukua runx x ya 2002, nimeipenda na ninaipenda sana aisee. Mkuu nashukuru kwa hiyo review hapo juu ni gari nzuri sana nje na ndaniBoss izo gari kama ni za mwaka mmoja (tufanye 2004) basi zote ziko sawa. Kuanzia HP, engine type, etc.
Runx ana option tatu. Kuna Runx X, Runx Z na Runx S.
Corolla RunX X (1500cc 1NZFE engine), Corolla RunX S (1800cc 1ZZFE engine), RunX Z (1800cc 2ZZGE engine).
Me natumia X mzee baba gari nzuri. Niliichukua kwa mtu ikiwa ma 77,000 km now ipo na 130,000 km na iko poa.
Handling iko poa kwenye high na low speed, ndani comfortable, ingawa seat za nyuma sio specious sana kama wanaokaa ni warefu, Service sio shida sana kwani spare parts zinaingiliana na magari mengi na pia siku hizi zipo nyingi.
Ushauri kama unaioenda muonekano basi inunue sio mbaya.