P Peaceforever JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,030 Reaction score 2,200 Oct 15, 2016 #1 Habari wadau, sijui kama nimeliweka hili ktk jukwa sahihi. Naomba kujua toka kwa wadau nini tofauti za cement zilizopo kwny masoko kwa mtumiaji ili kuweza kufanya uchaguzi sahihi kwa ujenzi
Habari wadau, sijui kama nimeliweka hili ktk jukwa sahihi. Naomba kujua toka kwa wadau nini tofauti za cement zilizopo kwny masoko kwa mtumiaji ili kuweza kufanya uchaguzi sahihi kwa ujenzi