Wadau sijafika levo ya chuo,ila nimekua nikisia mara undergraduate mara postgradute lakini sielewi ipi ni tofauti ya hayo maneno.Mwenye kujua naomba anisaidie.

Undergraduate ni mtu anayesomea degree lakini bado hajamaliza masomo yake inamaana bado yuko masomoni,postgraduate ni mtu mwenye degree ya kwanza na yuko masomoni ili apate degree ya pili