Nini translation ya "Kususia" au "kuzira" in English

Nini translation ya "Kususia" au "kuzira" in English

Cool Runnings

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
277
Reaction score
199
Wakuu naomba mwenye translation ya hilo neno, nafkiria kuhusu boycotting, abstaining lakini naona hayaleti maana halisi!!!!!!!
 
sulk
[suhlk]
verb (used without object)
1.
to remain silent or hold oneself aloof in a sullen, ill-
humored, or offended mood:
"Promise me that you won't sulk if I want to leave
the party early."
 
Quit ndio neno sahihi. Mziraji anaitwa quitter. OLESAIDIMU mekukosa, sheeeee.

King'asti thanks, lakini quitter si ni kama vile mkata tamaa, huyu mziraji hajakata tamaa ila amesusa hahahaha! I mean amesepa in the way ok tuone sasa. Kuna kaborderline nakaona hapo but it's so close thanks again.
 
sulk
[suhlk]
verb (used without object)
1.
to remain silent or hold oneself aloof in a sullen, ill-
humored, or offended mood:
"Promise me that you won't sulk if I want to leave
the party early."

Thanks king kong hii inaonekana kuwa close, lakini je haina tofauti na mnunaji? msusiaji anaweza kuwa hajanuna ila anaona kwa mwendo unaoendelea hakuna muafaka wala mafanikio yanayoweza patikana. But I think this is it!!!!!!!! Thanks again.
 
Back
Top Bottom