Wadau,
Naomba mnijuze
Kwanini gari yenye cc zinazofanana zinaweza kuwa na speed tofauti?
Kwa mfano za ki-Japan mwisho 180km/h wakati za Ulaya (Germany) zipo mpaka 240.
Je, ni kitu gani kinakuwepo au kuwekwa ili gari isizidi spidi hiyo iliyoandikwa kwenye speedometer?
Au gari za kijapan zinaweza toboa huko mpaka 240 au japo mshale utalala mwisho kwenye 180?