MtotoWaMzeeWaSiku
New Member
- Jan 2, 2017
- 3
- 2
Nini ukwamisha hatua za kimaendeleo katika biashara yako.
Na Frank kadidi/MtotoWaMzeeWaSiku
Wakati fulani nilizungumza juu ya namna ambavyo waweza kuchukua hatua za kimakusudi ili kufikia mafanikio katika biashara yoyote ufanyayo adhima kubwa ilikuwa ni namna unavyoweza kuchukua hatua za makusudi kuweza kufikia malengo na mafanikio kibiashara dhamira hii ilikuwa na mlengo mmoja tu KUACHANA NA TABIA YA KUFANYA BIASHARA KWA MAZOEA na kuongeza wigo katika uthubu ili kuweza kufanya mambo mapya yatakayo kuelekeza katika mafanikio utakayo.
Baada ya kuona na kutambua namna utakavyo weka uthubutu na kushirikisha hatua za kimakusudi kufikia mlengo wako waweza pia ukawa bado una kwama kufika hapo ambapo adhima yako ilikuwa ime NIA kuwa,unaweza kuto kuelewa kwamba nini hasa kinacho endelea kukwamisha mlengo na matarajio yako chukua muda kidogo kushirikiana nami katika uzoefu huu.
Jamii yetu ya kitanzania katika mtazamo wa walio wengi ina aminika kwamba ili kuweza kufanikiwa katika biashara yoyote ile ama shughuli yoyote binafsi ni lazima uwe na mtaji mkubwa sana,ili ukuwezeshe kuhimili adha zote zitakazo jitokeza pale utakapo ianza shughuli ama biashara iyo na hii imekuwa dhima kubwa sana inayorudisha na kufisha matumaini na shauku ya wengi wanao tamani kufanya vitu vya tofauti sio jambo baya kufikiria kujipanga kwa ajili ya kupata uhakika wa mambo mazuri ila sio rahisi sana wala sio muhimu kuangaika kutafuta mtaji mkubwa ikiwa hauna uwezo wa kuingiza kiwango kidogo utakacho kigawa katika matumizi na kutunza kingine kidogo ili kije kukuzalishia vitu vikubwa.
Sina maana kwamba watu tuache kutafuta au kujiandaa kwa ajili ya kuanzisha biashara msemo wangu hapo una maana kwamba sio lazima kusitisha kuchukua hatua za kimakusudi katika kuianza biashara yako uliyo iadhimia ila unaweza kuwa na mtaji wa kawaida nakufanya tathimi ya biashara ile ile lakini itakayo endana na mtaji/uwezo wako uliona nao kwa wakati huo kinachotakiwa hapana ni kubadili namna utakavyo ifanya biashara hii ili iwe chanzo cha kukufanya ufikie maadhimio yako ya awali hapa tuna rudi kule kwenye MAFANIKIO KIBIASHARA UTEGEMEA HATUA ZA KIMASUDI,swala la Mtaji/ pesa inayoingia katika mzunguko imekuwa ni kilio kikuu hata kwa watu wenye biashara kubwa kinacho wasaidia wao ni uwepesi wa kutambua mahitaji ya soko la bidhaa zao na namna wanazotumia kuwafikia watu wao ivyo kijana mwenzangu naomba kwako wewe hiki kisiwe kilio ila ifanye kuwa changamoto itakayo kuvusha hapo kuelekea sehemu nyingine bora zaidi.
Ukiachilia mbali swala la pesa inayoingia katika mzunguko/MTAJI kitu kingine kinacho weza kukwamisha hatua za kimaendeleo kwenye biashara ama shughuli yako ni MLENGO, kwa kijana anae taka kuanza kufanya bishara au shughuli fulani ni lazima awe na mpango kazi kitu hiki kina kupa mwongozo,uono,njia na wakati fulani ukukosoa katika utendaji wako hapa nataka zungumza juu ya utambuzi wa kile unachotaka kukifanya je umedhamiria kuwafikia watu gani? na njia zipi utakazotumia? Mwisho watakiwa kujua uliowadhania wamepokea vipi mlengo wako ikiwa utaona mlengo wako hauna uhusiano na adhira uliyokusudia achana nao maana hautakupatia matokeo chanya zaidi utarejesha maumivu tu na kuzalisha woga ni vyema kujitathimini na kutambua uwezo wako.