Tetesi: Nini umuhimu wa kizazi kilichopo kujua HISTORIA YA NCHI?

tembothegreat

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
54
Reaction score
53
Wakubwa zangu kheshma yenu na rika langu mpo poaaa!!!

Kuhusu historia ya nchi ningependa kujua kitu kama kujana wa kawaida kabisa kwa maswali mawili tu.

1.Wapi au kwa kinanani tutaweza kupata hustoria ya nchi yetu bila kufichwa chochote.

2.Upo wapi umuhimu wa vijana kuijua historia ya nchi?

Ahsanteni.

H.Sabuni
 
Kwa kutaka sifa wapo ambao hawataki wenzao waandikwe kwenye historia ya kuipigania nchi hii. Ubinafsi tu...

Maktaba ya Taifa huenda zipo hizo nyaraka
 
ishu nikwamba kila kitu kimeandikwa bila kuficha chochote?
 
Historia ya Nch husaidia kujua mlipotoka Na Mlipo

Mlipofanikiwa Na mliposhindwa Na sababu ya kufanikiwa Na kushindwa

Husaidia kuongeza ajira Kwa njia ya Utalii

Ntakupa mfano mmoja tu

Kuanzia Kariakoo Mtaa wa Msimbazi mpaka barabara ya Samora Maeneo ya Posta kulikuwa Na ofisi Za Vyama vyote ( VYOTE) vya Ukombozi Kusini mwa jangwa la Sahara Na tuliokuwa walau tuna ufahamu kidogo Hata Miaka ya Mwisho ya 1960 tutakuwa tunakumbuka lakin Kwa ujinga tu tumevunja Na kubadili mandhari yote ya eneo hilo bila ya kuacha kumbukumbu ambayo Leo Hii ingekuwa inatuingizia Mamilion ya Utalii

Eneo alilolipukiwa Na Bomu Edward Mondlane Nani analijua lakin lipo Maeneo ya Masaki Na mpaka Leo hatujawa ya chochote

Kwa kifupi sisi Ni Wajinga Na Wapumbavu wa kihistoria Na hatujui kutumia tulichonacho

Mapato ya Utalii Ni zaid ya Korosho naMadini
 
"Winners write history"

Huwezi kukuta kila kitu isipokuwa upande ulioandika lazima ujipendelee, na huwezi kuandika kama hukuwa kwenye winning team.

Otherwise utabaki kulalamika kwamba history imekutenga.
 
Historia ya Nch husaidia kujua mlipotoka Na Mlipo

Mlipofanikiwa Na mliposhindwa Na sababu ya kufanikiwa Na kushindwa

Husaidia kuongeza ajira Kwa njia ya Utalii

Ntakupa mfano mmoja tu

Kuanzia Kariakoo Mtaa wa Msimbazi mpaka barabara ya Samora Maeneo ya Posta kulikuwa Na ofisi Za Vyama vyote ( VYOTE) vya Ukombozi Kusini mwa jangwa la Sahara Na tuliokuwa walau tuna ufahamu kidogo Hata Miaka ya Mwisho ya 1960 tutakuwa tunakumbuka lakin Kwa ujinga tu tumevunja Na kubadili mandhari yote ya eneo hilo bila ya kuacha kumbukumbu ambayo Leo Hii ingekuwa inatuingizia Mamilion ya Utalii

Eneo alilolipukiwa Na Bomu Edward Mondlane Nani analijua lakin lipo Maeneo ya Masaki Na mpaka Leo hatujawa ya chochote

Kwa kifupi sisi Ni Wajinga Na Wapumbavu wa kihistoria Na hatujui kutumia tulichonacho

Mapato ya Utalii Ni zaid ya Korosho naMadini

mkuu inaelekea umekwiva sana, naomba utuambie ujuavyo katila historia ndugu, tutoe matongotongo ndugu.
 
Kama hujui ulikotoka huwezi kujua unakoenda

your very right boss. Kitu nimegundua vijan wengi tena wanaofanya siasa hawajui nini wanakifanya kwakua hawajui historia ya nchi. Laiti wangejua walipotoka sidhani kama wangekua wanabwabwaja ovyo.
 
Back
Top Bottom