Historia ya Nch husaidia kujua mlipotoka Na Mlipo
Mlipofanikiwa Na mliposhindwa Na sababu ya kufanikiwa Na kushindwa
Husaidia kuongeza ajira Kwa njia ya Utalii
Ntakupa mfano mmoja tu
Kuanzia Kariakoo Mtaa wa Msimbazi mpaka barabara ya Samora Maeneo ya Posta kulikuwa Na ofisi Za Vyama vyote ( VYOTE) vya Ukombozi Kusini mwa jangwa la Sahara Na tuliokuwa walau tuna ufahamu kidogo Hata Miaka ya Mwisho ya 1960 tutakuwa tunakumbuka lakin Kwa ujinga tu tumevunja Na kubadili mandhari yote ya eneo hilo bila ya kuacha kumbukumbu ambayo Leo Hii ingekuwa inatuingizia Mamilion ya Utalii
Eneo alilolipukiwa Na Bomu Edward Mondlane Nani analijua lakin lipo Maeneo ya Masaki Na mpaka Leo hatujawa ya chochote
Kwa kifupi sisi Ni Wajinga Na Wapumbavu wa kihistoria Na hatujui kutumia tulichonacho
Mapato ya Utalii Ni zaid ya Korosho naMadini