Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Jul 18, 2012 #1 Kama ni muhimu kwanini imefanyika mara chache....! 1.sababu ya umaskini wetu inaweza kuwa inasababishwa na kutofanyika kwa sensa? 2.Sensa na uchaguzi mkuu,unadhani nini muhimu...? "vox populi,vox dei"
Kama ni muhimu kwanini imefanyika mara chache....! 1.sababu ya umaskini wetu inaweza kuwa inasababishwa na kutofanyika kwa sensa? 2.Sensa na uchaguzi mkuu,unadhani nini muhimu...? "vox populi,vox dei"