Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile notice of appeal huwa ni taarifa ya kuwa ajakubaliana na maamuzi ya mahakama ya chini hivyo anaamua kukata rufaa sasa notice of appeal inaambatana na petetion of appeal,au memorandum of appeal zinabeba sababu za kukata rufaaHabari za kazi,
Naomba kujua hatua gani ya kufuata baada ya kupokea notice of appeal kutoka kwa mtu niliemshinda katika kesi ya ardhi.
Naomba msaada wenu katika sheria.
Hivi petition Lina maana gani?Petition of appeal
Ni doc ya maombi ya kisheriaHivi petition Lina maana gani?
Mimi nimepewa notice of appeal tuu, hakuna petition of appeal niliyopewa.Ile notice of appeal huwa ni taarifa ya kuwa ajakubaliana na maamuzi ya mahakama ya chini hivyo anaamua kukata rufaa sasa notice of appeal inaambatana na petetion of appeal,au memorandum of appeal zinabeba sababu za kukata rufaa
Wewe ulie pewa unatakiwa uzijibu zile sababu kwa muda uliopangiwa na mahakama kama unazikubali au unazikataa
Basi unatakiwa pia upewe na petition of appeal fatilia je notice of appeal uliipatia wpMimi nimepewa notice of appeal tuu, hakuna petition of appeal niliyopewa.
Hivyo nifanyaje hapo?
Basi subiri hiyo petition of appeal watakupaNotice of appeal nililetewa na mjumbe wa mtaa
Ni vizuri mkajua iko tofauti ya Notice of appeal na Notice of intention to appeal.Basi subiri hiyo petition of appeal watakupa
Msome mtoa hoja vzr mkuu umuelewe usimlishe manenoNi vizuri mkajua iko tofauti ya Notice of appeal na Notice of intention to appeal.
Hiyo ya kwanza Ni kwa ajili tu ya rufaa HC kwenda CA na document inayofuata hapo ni Memorundum of Appeal wala sio Petition of Appeal.
Nimechangia tu Hayo ili tusiendelee kujazana matango pori humu jamvini. Maana wengine wanaelimika humu.
Habari za kazi,
Naomba kujua hatua gani ya kufuata baada ya kupokea notice of appeal kutoka kwa mtu niliemshinda katika kesi ya ardhi.
Naomba msaada wenu katika sheria.
Upo sawa mkuuNotice of appeal kwa uelewa wangu ni kuonyesha kwamba mtu husika anakusudia kufukata rufaa. Hii ni kutokana na kwamba hukumu inapotolewa kuna muda maalumu unatolewa wa kuonyesha kutokuridhika kisheria na hukumu hivyo mhusika kuamua kuomba mahakama ya juu isikilize na kutoa maamuzi.
Baada ya notice ambayo ni lazima ije ndani ya muda uliotolewa, itakuja petition of appeal. Hapo ndo hoja zitahitajika kujibiwa. Lakini pia mahakama inaweza kuamua kuipitia ile hukumu iliyotelewa na mahakama ya chini kama kuna ulazima wa rufaa au la. Hapo mahakama inaweza kukataa rufaa. Inategemea lakini.
Nb.Ni vizuri mkajua iko tofauti ya Notice of appeal na Notice of intention to appeal.
Hiyo ya kwanza Ni kwa ajili tu ya rufaa HC kwenda CA na document inayofuata hapo ni Memorundum of Appeal wala sio Petition of Appeal.
Nimechangia tu Hayo ili tusiendelee kujazana matango pori humu jamvini. Maana wengine wanaelimika humu.