Nini vigezo vya kusomea u-trafic?

Nini vigezo vya kusomea u-trafic?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,133
Reaction score
661
Nina rafiki yangu ambaye amehitimu kidato cha nne na anahtaji kujiunga na chuo kinachotoa mafunzo ya polisi-trafic. Je,ni nini vigezo vya muhimu vinavyohitajika na muda wa hiyo cozi? Na application zake zinaanza lini? Natanguliza shukrani zangu.
 
Anatakiwa kwenda kwenda kusomea kama polisi wa kawaida kisha akiwa kwenye mafunzo
nafasi huwa zinatolewa.
 
Nina rafiki yangu ambaye amehitimu kidato cha nne na anahtaji kujiunga na chuo kinachotoa mafunzo ya polisi-trafic. Je,ni nini vigezo vya muhimu vinavyohitajika na muda wa hiyo cozi? Na application zake zinaanza lini? Natanguliza shukrani zangu.
inaonekana jamaa yako anataka kujenga nyumba chap chap.
 
Kwanza awe na form 4 ya pts 27. Ahonge akapige kwata ccp. Akiingia kitaa akwangu wahalifu arudi tena akamhonge mkulu aende tena ccp ndo avae hayo meupe. Kama hana hela asahau!
 
Ukishakuwa na ndugu ambaye ana cheo kikubwa polisi tayari una kigezo kwani atakufanyia connection ya kwend ccp na kupata utraffic. Ila imebakia miaka michache ya kuendelea kuchukua rushwa kwani ikiingia madarakani serikali makini ikaziba mianya ya rushwa utakufa njaa. Nakushauri soma kwa bidii uje kuwa mhandisi au daktari ndio career nzuri dunia nzima. Hawa matraffic na wala rushwa wengine wanaenjoy kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inanufaika na rushwa hivyo imeachia iendelee tu
 
Ana point 29,inaelekea hapa itakuwa ngumu kabisa kwake kupata! Anadai amepata ustawi wa jamii,lakini anapenda zaidi kuwa trafic. Asante kwa maelezo lakini.
 
Ukishakuwa na ndugu ambaye ana cheo kikubwa polisi tayari una kigezo kwani atakufanyia connection ya kwend ccp na kupata utraffic. Ila imebakia miaka michache ya kuendelea kuchukua rushwa kwani ikiingia madarakani serikali makini ikaziba mianya ya rushwa utakufa njaa. Nakushauri soma kwa bidii uje kuwa mhandisi au daktari ndio career nzuri dunia nzima. Hawa matraffic na wala rushwa wengine wanaenjoy kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inanufaika na rushwa hivyo imeachia iendelee tu

pamoja sana,ila mtu mwenyewe hana ndugu huko.Ila mimi mwenyewe nachukia sana huu mfumo wa kupata nafasi mbalimbali,ndio unafanya hata wale wenye vigezo kukosa.Eti kisa ndugu yangu sawaa! Aewei,tuombe mungu ili tupate kiongozi makini atakayeweza kuendesha hili gurudumu ifikapo mwaka 2015.
 
inaonekana jamaa yako anataka kujenga nyumba chap chap.
Na kumiliki Madaladala Ya Mjini pia... na pia inaelekea anapenda kuwa na kitambi na kula Rushwa Sana
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Kwanza awe na form 4 ya pts 27. Ahonge akapige kwata ccp. Akiingia kitaa akwangu wahalifu arudi tena akamhonge mkulu aende tena ccp ndo avae hayo meupe. Kama hana hela asahau!

U mean kama, sasa kwanini huyu akwenda huko?

matokeo.jpg
 
Back
Top Bottom