Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
inaonekana jamaa yako anataka kujenga nyumba chap chap.Nina rafiki yangu ambaye amehitimu kidato cha nne na anahtaji kujiunga na chuo kinachotoa mafunzo ya polisi-trafic. Je,ni nini vigezo vya muhimu vinavyohitajika na muda wa hiyo cozi? Na application zake zinaanza lini? Natanguliza shukrani zangu.
Ukishakuwa na ndugu ambaye ana cheo kikubwa polisi tayari una kigezo kwani atakufanyia connection ya kwend ccp na kupata utraffic. Ila imebakia miaka michache ya kuendelea kuchukua rushwa kwani ikiingia madarakani serikali makini ikaziba mianya ya rushwa utakufa njaa. Nakushauri soma kwa bidii uje kuwa mhandisi au daktari ndio career nzuri dunia nzima. Hawa matraffic na wala rushwa wengine wanaenjoy kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inanufaika na rushwa hivyo imeachia iendelee tuNina rafiki yangu ambaye amehitimu kidato cha nne na anahtaji kujiunga na chuo kinachotoa mafunzo ya polisi-trafic. Je,ni nini vigezo vya muhimu vinavyohitajika na muda wa hiyo cozi? Na application zake zinaanza lini? Natanguliza shukrani zangu.
Kwanza awe na form 4 ya pts 27. Ahonge akapige kwata ccp. Akiingia kitaa akwangu wahalifu arudi tena akamhonge mkulu aende tena ccp ndo avae hayo meupe. Kama hana hela asahau!
Ana point 29,inaelekea hapa itakuwa ngumu kabisa kwake kupata! Anadai amepata ustawi wa jamii,lakini anapenda zaidi kuwa trafic. Asante kwa maelezo lakini.
Ukishakuwa na ndugu ambaye ana cheo kikubwa polisi tayari una kigezo kwani atakufanyia connection ya kwend ccp na kupata utraffic. Ila imebakia miaka michache ya kuendelea kuchukua rushwa kwani ikiingia madarakani serikali makini ikaziba mianya ya rushwa utakufa njaa. Nakushauri soma kwa bidii uje kuwa mhandisi au daktari ndio career nzuri dunia nzima. Hawa matraffic na wala rushwa wengine wanaenjoy kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inanufaika na rushwa hivyo imeachia iendelee tu
Na kumiliki Madaladala Ya Mjini pia... na pia inaelekea anapenda kuwa na kitambi na kula Rushwa Sanainaonekana jamaa yako anataka kujenga nyumba chap chap.
Na kumiliki Madaladala Ya Mjini pia... na pia inaelekea anapenda kuwa na kitambi na kula Rushwa Sana
CCP Panamuhusu.
inaonekana jamaa yako anataka kujenga nyumba chap chap.
Kama demu anaweza kupata
Kwanza awe na form 4 ya pts 27. Ahonge akapige kwata ccp. Akiingia kitaa akwangu wahalifu arudi tena akamhonge mkulu aende tena ccp ndo avae hayo meupe. Kama hana hela asahau!