Ninatatizwa kwakuwa sielewi Vigezo vya Msanii Kuteuliwa kuwa Msanii bora nchini Tanzania. Kwa maoni yangu yule dada wa kundi la Futuhi anayeigiza Kama bibi kizee kwakweli anastahili kufikishiwa katika uteuzi lakini sijawahi kusikia akitajwa au kwakuwa yuko mbali na walipo wateuzi. Dada yule anajua kuigiza, Hana ubishoo, anazama katika husika. Asikatishwe tamaa tafadhali.