Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Hivi ndo alikuwa Futungo anaibukia au ? Maana naona kimya baada ya keleleKama unavijua, vitaje!
1.kulinda masilahi ya Kikwete
2.Kuzuru nchi zote za ulaya na Amerika
3.Kugawa pato la nchi sawa Kati ya Zanzibar na Tz
Ngoja nikusaidie kujibu swali lako.Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Acha upuuuz ww katoa pesa zake anapesa za kutoa kwenye mfuko wake wa Dela? Pesa za walipa kodi acha kuwa chai maharage wwHizo CT scanner anazonunua mikoa yote ni kipaumbele chako?
Miradi ya kimkakati SGR,NYERERE HYDROELECTRIC DAM vyote havinakamilika wewe unataka vipaumbele vingine kwa pesa zipi?
Mama ametoa pesa kila wilaya miradi lukuki, halafu wewe unakurupuka na k-vant imekujaa kichwani unaleta maswali ya kilevi humu?
Na atakiangusha chama chenu 2025 endeleeni kumsifiaHahahaaaa, WACHAWI bwana!
Sasa tufanye hivi, hana vipaumbele vyovyote hivyo nendeni tu mkamtoe na mumuweke huyo polepole tupumzike kelele
Utakua ni mtoto wa diwani wa ccmVipaumbele vya awamu ya sita ni kumalizia miradi yote ya awamu ya tano ili isiishie njiani na kubakia magofu.
Kipaumbele cha pili ni kuwa rafiki na jumuiya ya kimataifa, ndio maana Mulamula akapewa nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje ili uzoefu wake urudishe uhusiano mwema na mataifa haswa yale makubwa duniani.
Kipaumbele cha tatu ni kuhakikisha nchi nzima inapata maji, miradi mikubwa inafunguliwa miaka ya sasa.
Huo ni mueleko tosha kabisa. Kikao kama kile cha COP26 kuhudhuriwa na rais mwenyewe ni sehemu tu ya umakini wa muelekeo mzima wa awamu ya sita.
ThubutuuuuuNa atakiangusha chama chenu 2025 endeleeni kumsifia
Refer to Joyce Banda
Mtoto wa kada kabisa😂Utakua ni mtoto wa diwani wa ccm
unapenda sana mipasho- Rais alitaja vipaumbele vyake alipolihutubia taifa kupita bunge la JMTNimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
1 KUWAPANGA WAMACHINGA
2 KAMPENI YA CHANJO
3 KUKOPA
4 KUSOMA KESI YA MBOWE
5 KWENDA NJE
6 RAIS KUREKODI MOVIE
7KUTETEA JINSIA YAKE MAMA NYUMBA
8 KUMSIFIA AWESO
MENGINE ONGEZEA NYIE