Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
Mwekezajiii! Yaani Mzungu hata akimpa dada yako mimba tayari mwekezaji! Simeoni akifungua kiwanda cha kuzalisha nini ili mradi anatoka tarakea analipa kodi kwanza. Yaani mwisho unafikiri ulizaliwa Tanzania uteseke!