saimasebo
New Member
- Nov 8, 2022
- 3
- 2
Jaman habarini
Kwa wazoefu wa bajaji naomba kujua jambo hili...
Nimejikusanya pesa kama million tano nahitaji kununua bajaji TVS King used.
Je, nikiwa dereva mwenyewe, itaweza kunipa faida hata ikatimia pesa ya kununua bajaji mpya?
Je hazina usumbufu wowote mbaya..
Naomba kujuzwa tafadhali