Used itanilipa? Coz nataka nianze na used ya around 5M
Fuata ushauri huuUkiwa unaendesha mwenyewe na unakomaa kwa siku nzima unaweza kulaza 30,000 kwa siku.(INAWEZEKANA)
Zidisha mara siku 28 hizo siku 2 ni za service kwa maana siku 1 kila baada ya wiki 2.
Tena nunua bajaji ya million 4 hiyo million ya ziasa piga service na ulipie vibali.
mndani ya mwaka unapata bajaji mpya.
ushauri.
LENGA BAJAJI KWA MWENYEWE USINUNUE KWA MADALALI UTAPIGWAAA
Itakulipa ukiendesha mwenyewe. Usitoe Deiwaka kamweeeUsed itanilipa? Coz nataka nianze na used ya around 5M