Mwalimu Truth
Member
- Feb 15, 2015
- 57
- 71
Nilileta uzi humu kuhusu gari ya kununua kwa bajeti ya milioni 5,nilipata Vitz Rs namba D kwa mtu na sio kwa dalali ikiwa msumali haswaaa kwa bajeti ya milioni 5.5 !Kokote naenda pasipo shida,kwa sasa nahitaji gari lingine la kutokea wikendi tu,namaanisha kila JUMAPILI sitajali cc zake kama nilivyosema natoka nalo jpili tu!Bajeti milioni 8,ushauri wenu,kwenye machaguo haya nichukue ipi?
_Brevis
_Crown
_Mark X
_Brevis
_Crown
_Mark X