Mwalimu Truth
Member
- Feb 15, 2015
- 57
- 71
Mnyama brevisNilileta uzi humu kuhusu gari ya kununua kwa bajeti ya milioni 5,nilipata Vitz Rs namba D kwa mtu na sio kwa dalali ikiwa msumali haswaaa kwa bajeti ya milioni 5.5 !Kokote naenda pasipo shida,kwa sasa nahitaji gari lingine la kutokea wikendi tu,namaanisha kila JUMAPILI sitajali cc zake kama nilivyosema natoka nalo jpili tu!Bajeti milioni 8,ushauri wenu,kwenye machaguo haya nichukue ipi?
_Brevis
_Crown
_Mark X
AhsanteToyota Crown
AhsanteMnyama brevis
Brevis halivutii kwa mwonekano so halitaserve purpose yake ya gari la kutokea 😅Mnyama brevis
Nilileta uzi humu kuhusu gari ya kununua kwa bajeti ya milioni 5,nilipata Vitz Rs namba D kwa mtu na sio kwa dalali ikiwa msumali haswaaa kwa bajeti ya milioni 5.5 !Kokote naenda pasipo shida,kwa sasa nahitaji gari lingine la kutokea wikendi tu,namaanisha kila JUMAPILI sitajali cc zake kama nilivyosema natoka nalo jpili tu!Bajeti milioni 8,ushauri wenu,kwenye machaguo haya nichukue ipi?
_Brevis
_Crown
_Mark X
Ahsante sanaKwanza
Hiyo Brevis ifute kabisa kichwan mwako
Afu ndo tukae kuyajadili mambo ya magari
Sent using Jamii Forums mobile app