BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 480
Habarini za kushinda!
Naombeni msaada wa mawazo, nimejichangachanga na sasa nataka kununua gari.
Naombeni msaada wa chaguo zuri mojawapo kati ya hayo machaguo matatu.
Niko Tunduma, kazi ya gari hiyo ni kwendea katika shughuli zangu mjini mara nyingine vijijini na kurudi nyumbani.
Nyumbani kwetu ni Tanga ikiwezekana linifikishe huko na kurudi.
Chaguo langu la jumla ni gari toka kampuni ya Toyota tu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati.