BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 480
Fielder na Premio ni roho za paka.Habarini za kushinda!
Naombeni msaada wa mawazo, nimejichangachanga na sasa nataka kununua gari.
Naombeni msaada wa chaguo zuri mojawapo kati ya hayo machaguo matatu.
Niko Tunduma, kazi ya gari hiyo ni kwendea katika shughuli zangu mjini mara nyingine vijijini na kurudi nyumbani.
Nyumbani kwetu ni Tanga ikiwezekana linifikishe huko na kurudi.
Chaguo langu la jumla ni gari toka kampuni ya Toyota tu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati.
Fielder new model bodi sio ngumu.Fielder na Premio ni roho za paka.
Wish ina nafasi kubwa lakini ball joints zake haziko imara pia ni ndefu sana na ina mwonekano wa panya na ni yeboyebo
Mrejesho, ulichukua gari ipi???Habarini za kushinda!
Naombeni msaada wa mawazo, nimejichangachanga na sasa nataka kununua gari.
Naombeni msaada wa chaguo zuri mojawapo kati ya hayo machaguo matatu.
Niko Tunduma, kazi ya gari hiyo ni kwendea katika shughuli zangu mjini mara nyingine vijijini na kurudi nyumbani.
Nyumbani kwetu ni Tanga ikiwezekana linifikishe huko na kurudi.
Chaguo langu la jumla ni gari toka kampuni ya Toyota tu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati.
Nyoosha maelezo we mbwiga. Hiyo pesa unalipa kila mwezi kwa miaka miwili au unalipa mara moja tu?SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,
nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)
Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921
JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!
Ukikamilisha nifahamishe !
Kuna aliyefanikiwa baada ya kufata hizo process? Mbona kama naskia harufu ya kupigwa hapoNyoosha maelezo we mbwiga. Hiyo pesa unalipa kila mwezi kwa miaka miwili au unalipa mara moja tu?
Hello mambo... Mimi ni agent natoa magari Bandarini na contena karibu 0764423726Habarini za kushinda!