Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 May 14, 2024 #1 Habari wakuu Kati ya vanguard na suzuki escude 2008 ipi ni gari nzuri nataka kuvuta moja wakuu Attachments images (2).jpeg 23.7 KB · Views: 38 images (3).jpeg 37.3 KB · Views: 43
M Miss_Mariaah JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 2,176 Reaction score 4,979 May 14, 2024 #2 Chukua vanguard Ni Bomba zaidi
G Giltami JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 1,038 Reaction score 1,623 May 14, 2024 #3 Nje ya mada chukua 2006,2007 Toyota Rav 4, vanguard ni rav4 mayai
Top gun maverick JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,080 Reaction score 2,871 May 15, 2024 #4 Babu kwa muonekano na heshima chukua vanguard mzee.Ni chuma moja matata sana.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 May 16, 2024 #5 Weka bei ya kila moja...
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,164 Reaction score 573 May 16, 2024 #7 Hizo ni gari mbili tofauti kuanzia muonekano, performance na bei. Suzuki ni bei rahisi sana ukilinganisha na Vanguard. NB. Kama wewe ni Mchagga nunua zako Suzuki utanishukuru baadae
Hizo ni gari mbili tofauti kuanzia muonekano, performance na bei. Suzuki ni bei rahisi sana ukilinganisha na Vanguard. NB. Kama wewe ni Mchagga nunua zako Suzuki utanishukuru baadae
goodlif1600 JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 805 Reaction score 877 May 27, 2024 #8 Giltami said: Nje ya mada chukua 2006,2007 Toyota Rav 4, vanguard ni rav4 mayai Click to expand... Hizi akili ni zangu kabisa...sijui kwani nazielewa sana Rav 4 generation 3 hizi gari zimekaa vizuri sana.very comfortable.
Giltami said: Nje ya mada chukua 2006,2007 Toyota Rav 4, vanguard ni rav4 mayai Click to expand... Hizi akili ni zangu kabisa...sijui kwani nazielewa sana Rav 4 generation 3 hizi gari zimekaa vizuri sana.very comfortable.
politics observer JF-Expert Member Joined Jun 18, 2024 Posts 385 Reaction score 299 Sep 18, 2024 #9 Vangard ufananishe n escudo 🙌🏽